Ukaribisho

profile

Dr. Zavery P. Benela
Mganga Mfawidhi

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala ni Hospitali ya Umma inayohudumia wakazi takribani millioni 2.2 wa Mkoa wa Dar es Salaam na Viunga vya Jirani, sana sana wakazi wa wilaya za Kinondoni na Ubungo. Ikiwa na Maono  ya k...

Read more

Our Services All

Huduma za upasuaji

Huduma za upasuaji zinazopatikana Mwananyamala na zinapatikana katika:

  1. Upasuaji Mdogo
  2. Upasuaji Mkubwa
  3. Upasuaji wa kina Mama
readmore

In-patient Services comprises of 12 wards which are, 

  • Post Natal ward, 
  • Gynaecology ward, 
  • Surgical female Ward, 
  • Pediatrics Ward, 
  • Female Medical Ward, 
  • Male Medical ward, 
  • Surgical Male Ward, 
  • Labour ward, 
  • Antenatal ward, 
  • Neona...
readmore

Huduma za Maabara

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Inatoa Huduma Zifuatazo;

  • Clinical Chemistry
  • Serology
  • Haemotology
  • Microbiology
  • Parasitology
readmore

Huduma za Dharura

Huduma za matibabu ya Dharura zinazopatikana Mwananyamala hospitali masaa 24:


readmore

Matukio All

  • No records found

Patient Visiting hours

Jumatatu-Ijumaa

  • From 09:00 to 10:00
  • From 16:00 to 16:30
  • From 20:00 to 20:30

Jumamosi-Jumapili

  • From 15:00 to 19:00

Today's Clinics All

health education All

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Ni nini chanzo chake

Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na aina ya kirusi kinachoitwa Human Papilloma (HPV). Kirusi hiki huambukizwa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye maambukuzi ya HPV


Dalili zake

...

read more
SARATANI YA MATITI

SARATANI YA MATITI


Saratani ya matiti ni uvimbe katika titi usiokuwa na maumivu. Mwanamke yeyote anaweza kuwa nao biia yeye mwenyewe kujua. Ni muhimu kila mwanamke kufahamu jinsi ya kujichunguza mwenyewe ili kugundua mapema kama anao ugonjwa.

...

read more
SARATANI YA NGOZI

SARATANI YA NGOZI

Saratani ya ngozi zipo za aina nyingi. Katika  mada hii saratani ya kaposis saicoma imejadiliwa. Imejadiliwa. Mambo yanayoongeza uwezekano wa kupata saratani hii ni;

  • Kuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI
  • Upungufu wa kinga mw...
read more
SARATANI YA MAPAFU

SARATANI YA MAPAFU

Mambo yanayoongeza uwezekano wa kupata saratani ya mapafu

  • Uvutaji wa moshi wa sigara au tumbaku
  • Uvutaji wa hewa zenye kemikali za sumu kutoka viwandani

Dalili zinazowezesha kujitokeza

  • Kukohoa kwa muda mrefu hata ba...
read more
SARATANI

Magonjwa ya Saratani

Saratani hutokea wakati sehemu ya mwili inapokua na kuongezeka bila utaratibu na kusababisha uvimbe. Kwa kawaida saratani huanza taratibu na huchukua muda kuonyesha dalili zozote. Pia dalili za awali haziambatani na maumivu hivyo k...

read more
Kisukari

Kisukari

Ugonjwa wa kisukari ni hali aambayo inatokea wakati sukari katika damu inakuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu. Ili mwili uweze kutumia sukari iliyotoka kwenye vyakula huhitaji kichocheo cha insulini. Insulin husaidia sukari k...

read more

Ministry Content All

Matangazo All